myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji818][emoji818]
[emoji818][emoji818]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weekend hiyooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
He he!!!Mwanaume mmoja nchini England, Sean Marsden, (48), amevunjika uume wake wakati akijaribu mtindo mpya na mwenzi wake Louise Gray, na kusababisha kuvimba hadi kufikia ukubwa wa chupa ya wine. Sean alikimbizwa Hospitali kupatiwa matibabu ikiwemo kufanyiwa upasuaji, na kutakiwa asifanye ngono kwa mwezi mmoja, lakini aliweza kuvumilia kutofanya kwa wiki tatu tu.
[emoji16][emoji16][emoji16]Waarabu hawafai...[emoji87][emoji87][emoji87]
View attachment 1011838
Nilidhani watafikisha dazeni. Wamejitahidi [emoji16][emoji16][emoji16]
Bro mambo yanaendeleaje? Waarabu wanaendelea kuhesabu magoli tu ama?
Moja - wahed [emoji736]
Mbili - Ithnan [emoji736]
Tatu - Thalatha[emoji736]
Nne - Arba[emoji736]
Tano - Khamsa[emoji736]
Sita - Sitta
Saba - Sabah
Nane - Thamaniya
Tisa - Tissah
Kumi - Asharah
Sawa sawa