moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahahahahah, [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]siasa za Afrika ni vituko mwanzo mwisho.Diwani Chadema asimulia alivyowekwa ndani na RC Mara akidaiwa kukunja nne kikaoni>>>Diwani Chadema asimulia alivyowekwa ndani na RC Mara akidaiwa Mwananchi Newspapers on Twitter
Kumbe kukunja 4 ni jinai?
Sent using Jamii Forums mobile app