Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Likinu likubwa la Nyuklia maili milioni 93 kutoka hapa tulipo. Sasa tunalitegemea kwa kila kitu ila siku moja litatuangamiza...Maajabu ya Muumba [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
a911b9e6-752a-45c5-a107-ee92f900d4b6.gif
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inaweza kuwa hz picha ndio zmemtoa kwenye chama bro wetu cole?
Bro yule ameteseka sana katika uzi huu. Amepitia kunyang'anywa mke humu tena mchana kweupe njemba zikaondoka na mai waifu wake laivu. Inafurahisha kuona kuwa hatimaye amepata tulizo la moyo wake. I am very happy for him [emoji106][emoji106][emoji106]
 
Back
Top Bottom