Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Hahahaha bro bhana,na ww ukaridhia kabsa kuona bwana mdogo wako waifu wake anaondoka hv hv tena kweupe kama ulivyosema hapa,,ungepambana broBro yule ameteseka sana katika uzi huu. Amepitia kunyang'anywa mke humu tena mchana kweupe njemba zikaondoka na mai waifu wake laivu. Amepigana mno na inafurahisha kuona kuwa hatimaye amepata tulizo la moyo wake. I am very happy for him [emoji106][emoji106][emoji106]