Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Staili mpya eeeh!? Si ajabu kalazwa chini na kuanza kupondwa na kusiginwa. Staili mbaya sana hii hasa kama binti amewaka sawasawa au katupiamo tumvinyo. Akikosea tu akaibamiza vibaya it can pop [emoji16][emoji16][emoji16]

Anyway, men will always be men. Get well soon kamanda. Heshima ya ukoo lazima ilindwe...[emoji123][emoji123][emoji123]
 
Bro bhana hahaha
 
Hapana nawaona mnavyomtania hapa! anaonekana aliteswa ..
Hapa namuona akiwa na ma upendo kama yote
Isije ikawa anayempa maraha yote hayo ni wewe hapo. Kama ni wewe funguka tukupe heshima yako ya ushemeji [emoji16][emoji16][emoji16]

Tunakulagaaaaa [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Ann Coulter: 'Lunatic' Trump could be challenged in 2020 — from the right
AOL.COM 1 hr ago
Conservative firebrand Ann Coulter called President Trump “lazy and incompetent” and a “lunatic” and warned that he could face a Republican primary challenger from the right if he doesn’t fulfill his promise to build a wall across the Mexican border.
Huyu mwanamke huyu, aah! [emoji1][emoji1]
Yeah! Nimeiona huko kwa vichaa wenzie wa Breitbart. Hata mwanzo ni yeye, Rush Limbaugh na akina Sean Hannity ndo walimtisha akakataa kusaini makubaliano ya awali akakimbilia kushut down serikali. Sasa amekutana na kigingi cha mwanamke Nancy Pelosi shutdown imeback fire sijui itakuwaje. Jamaa lina ego ya kitoto sana na likisemwa kidogo tu basi hilooooo...
 
Kutumia Tecno ni noma
____________
unapigiwa simu na bosi wako simu inaita unataka kupokea inaganda unahangaika wee unakumbuka bora utoe betri huku bado inaita unatoa unarudishia fasta unawasha mara sms inaingia kutoka kwa bosi,
"kazi nimempa mwingine nimeona hupokei simu" kwa mshtuko unapoteza fahamu unaanguka unazimia unakufa unazikwa unaenda jehanum.
Siyo poa kututania wadau wa Tecno. Ushindwe kabisaaa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Staili mpya eeeh!? Si ajabu kalazwa chini na kuanza kupondwa na kusiginwa. Staili mbaya sana hii hasa kama binti amewaka sawasawa au katupiamo tumvinyo. Akikosea tu akaibamiza vibaya it can pop [emoji16][emoji16][emoji16]

Anyway, men will always be men. Get well soon kamanda. Heshima ya ukoo lazima ilindwe...[emoji123][emoji123][emoji123]
Noma sana [emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro bhana hahaha
Niko keafu sana na haya mayutong haya ninayoendeshaga. Staili hiyo likikusukumizia mzigo wote mdebwedo huku limekuchuchumalia kiupande upande ni denja sana bro. Bwana mdogo akikutwa sijui ndo katoka kidogo kuvuta pumzi kabla hajarudi kupambana gizani, tiii anaweza kuvunjika na utetezi wa heshima ya ukoo ukaishia hapo. Japo ni ajali kazini lakini ni noma sana [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kutumia Tecno ni noma
____________
unapigiwa simu na bosi wako simu inaita unataka kupokea inaganda unahangaika wee unakumbuka bora utoe betri huku bado inaita unatoa unarudishia fasta unawasha mara sms inaingia kutoka kwa bosi,
"kazi nimempa mwingine nimeona hupokei simu" kwa mshtuko unapoteza fahamu unaanguka unazimia unakufa unazikwa unaenda jehanum.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko keafu sana na haya mayutong haya ninayoendeshaga. Staili hiyo likikusukumizia mzigo wote mdebwedo huku limekuchuchumalia kiupande upande ni denja sana bro. Bwana mdogo akikutwa sijui ndo katoka kidogo kuvuta pumzi kabla hajarudi kupambana gizani, tiii anaweza kuvunjika na utetezi wa heshima ya ukoo ukaishia hapo. Japo ni ajali kazini lakini ni noma sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahaha aise et youtong
 
Hahahaha aise et youtong
NB8T906.jpeg
 
Back
Top Bottom