Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1c9484ee-809e-4a08-96fb-328883780400.jpeg
 
Kama ni hivyo basi Simba ni dazeni...

Burudani kamili ni kumsikiliza Haji Manara akitoa utetezi wa kwa nini wamepigwa dazeni. Bongo yaani karibu kila kitu ni mparaganyiko tu halafu maneno meeeeegiiii [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha Manara maneno mengi sana,ila toka ametoka kufungwa na As Vital amekuwa kimya sana,haja trend tena kama ilivyokuwa hapo nyuma kidogo,,sasa kwa game ya leo jioni sijui atakuja na habar gani tena,,,haya mashindano ni magumu yy anachukulia simple simple tu kama kwenda kuchezea na Majimaji vile
 
Soka letu bado sana kwa kweli...Si Yanga si Simba wote hovyo tu !!!
 
Mwanaume mmoja nchini England, Sean Marsden, (48), amevunjika uume wake wakati akijaribu mtindo mpya na mwenzi wake Louise Gray, na kusababisha kuvimba hadi kufikia ukubwa wa chupa ya wine. Sean alikimbizwa Hospitali kupatiwa matibabu ikiwemo kufanyiwa upasuaji, na kutakiwa asifanye ngono kwa mwezi mmoja, lakini aliweza kuvumilia kutofanya kwa wiki tatu tu.
 
tapatalk_1549122032906.jpeg
 
Chama cha mapinduzi(CCM) kinawatakia jioni njema wote
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pia kinawatakia jioni njema wote !!!

Na ACT Wazalendo...

Na NCCR Mageuzi...

Na UDP...

Na TLP...

Na kile cha Mh. Lungwe...

Maendeleo hayana chama. Tuipende nchi yetu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom