Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakutoka kanda pendwa akihamia tauni[emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inaelezwa kuwa huenda wanakosa mbinu za kimichezo na mazoezi kucheza katika hali ya hewa ya namna ile. Kwa kawaida majira ya baridi kali inayoambatana na theluji barani Ulaya huanzia Desemba na kuendelea mwaka mpya unaofuata katika miezi ya Januari mpaka Aprili.
 
Udhibiti wa joto la mwili katika mazingira ya baridi kali ni jambo ambalo linaweza kuleta athari katika kiwango cha mchezaji anayecheza katika mazingira hayo. Katika mazingira ya joto au baridi mwili hujaribu kulinda mazingira ya ndani ya mwili ili yawe sawa katika kiwango chake inachohitajika kwa ajili ya shughuli zake.
 
Kwa kawaida misuli hai ya mwanasoka huwa na uhitaji wa damu kwa wingi ili kuweza kucheza kwa kiwango, lakini katika baridi utiririkaji wa damu huwa ni tofauti.
 
Wakati wa baridi damu hupungua kutiririka juu ya ngozi kwa sababu mishipa ya damu iliyopo juu ya ngozi husinyaa na kujificha ndani yangozi lengo ni kulinda joto la ndani ya mwili lisishuke.
 
Hali ya damu kupungua kutiririka kutoka katika ngozi na kuelekea kwa wingi ndani ya mwili ni jambo muhimu kufanyika pale kunapokuwa na ongezeko la uhitaji wa nguvu/nishati mwilini.
 
Mwili hufanya hivi ili kujaribu kuendelea kulinda joto la mwili na wakati huo huo kutengeneza nguvu zaidi itakayotumika na misuli kwa ajili ya mazoezi au kucheza.
 
Lakini hali hii inakuwa tofauti katika kufanya mazoezi au kucheza katika baridi kali kwani mwili unakuwa katika mazingira ambayo hupata shinikizo kubwa na kuathirika katika njia nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…