Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

a997d7566d123e3f3e850e97f0580cc4.jpeg
 
Mfano wa mambo hayo ni kujikunja au kujikunjua kwa misuli ili kukimbia, kutembea, kupiga mpira au kuruka. Pia, misuli iliyo baridi na migumu au kupata mkazo huwa haifanyi kazi kwa kiwango, hali hii ndiyo inayochangia kupata majeraha kirahisi ukilinganisha na misuli iliyopo katika mazingira ya joto. Kiwango cha mwanasoka huathirika na kushuka kiutendaji hii ni kutokana na mwili kufanya kazi kwa kutumia nguvu nyingi katika shughuli za ndani. Vilevile moyo hufanya kazi ya ziada zaidi katika mazingira ya baridi.
 
Mfano katika baridi unaweza kutetemeka katika hatua za awali ili kuupasha mwili moto lakini hutadumu kufanya hivyo kwa muda mrefu. Ni kawaida katika baridi kali wale wachezaji walioko benchi kuhakikisha wanajifunika vizuri na mablanketi na makoti ili wanapoingia misuli yao iwe imechangamka tayari. Hivyo, kwa maelezo haya tunaona kabisa kuwa upo uhusiano wa moja kwa moja wa athari za baridi kali kwa afya ya wachezaji na kiwango cha chake.
 
Back
Top Bottom