Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

HABARI ndio hiyo. Dirisha la usajili la wachezaji huko Ulaya kwa mwezi Januari ndio limeshafungwa na aliyepata kapata kwa maana ya usajili uliofanywa na klabu za Ligi Kuu England katika kuuza na kusajili.
 
Huko England katika siku ya mwisho ya kufungwa kwa dirisha hilo la usajili juzi Alhamisi, hakukuwa na purukushani sana na kwamba kila timu ambayo ilikuwa inahitaji kusajili wakali wapya ilifanya hivyo kukamilisha dili zao mapema na hivyo kusubiri kuona mambo yatakavyokuwa katika kumalizia msimu.
 
Kwa timu za Ligi Kuu England, usajili mwingi uliofanyika kwenye dirisha hilo la majira ya baridi wengi wamehama kutoka timu moja kwenda nyingine kwa mkopo, huku usajili ulioshuhudia pesa nyingi ikitoka ni ule wa Christian Pulisic, aliyenaswa na Chelsea kwa ada ya Pauni 58 milioni akitokea Borussia Dortmund. Hii hapa orodha nzima ya usajili wa klabu za Ligi Kuu England kwa dirisha la Januari.
 
IMG_4442.JPG

[emoji124][emoji124][emoji124]
 
Walioondoka: Jermain Defoe (Rangers, mkopo), Marc Pugh (Hull, mkopo), Alex Dobre (Yeovil, mkopo), Tyrell Hamilton (Salisbury, mkopo), Jordan Holmes (St Mirren, mkopo), Aaron Ramsdale (AFC Wimbledon, mkopo), Charlie Seaman (Dundee United, mkopo), Matt Worthington (Yeovil, huru), Tyrone Mings (Aston Villa, mkopo)
 
BRIGHTON

Waliotua: Alexis Mac Allister (Argentinos Juniors, imefichwa), Tudor-Cristian Baluta (FC Viitorul Constanta, imefichwa)

Walioondoka: George Cox (Northampton, mkopo), Alexis Mac Allister (Argentinos Juniors, mkopo), Billy Acre (CS Emelec, mkopo), Ben Barclay (Notts County, mkopo), Anders Dreyer (St Mirren, mkopo), Josh Kerr (Derry City, mkopo).

Wengine ni Jordan Maguire-Drew (Leyton Orient, imefichwa), Mathias Normann (FC Rostov, imefichwa), Ezequiel Schelotto (Chievo, mkopo), Markus Suttner (Fortuna Dusseldorf, mkopo), Ben White (Peterborough, mkopo), Oliver Norwood (Sheffield Utd, imefichwa), Aaron Connolly (Luton, mkopo)
 
BURNLEY

Waliotua: Peter Crouch (Stoke, huru)

Walioondoka: Jimmy Dunne (Sunderland, mkopo), Ali Koiki (Swindon, mkopo), Ntumba Massanka (RWD Molenbeek, mkopo), George McMahon (Ashton United, mkopo), Conor Mitchell (Linfield, mkopo), Sam Vokes (Stoke, Pauni 9 milioni).
 
CARDIFF CITY

Waliotua: Oumar Niasse (Everton, mkopo), Emiliano Sala (Nantes, imefichwa), Leandro Bacuna (Reading, Pauni 3 milioni).

Walioondoka: Lee Tomlin (Peterborough, mkopo), Anthony Pilkington (Wigan, huru), Ciaron Brown (Livingston, mkopo), Omar Bogle (Portsmouth, mkopo), Gary Madine (Sheffield United, mkopo), Paul McKay (Morecambe, mkopo).
 
CHELSEA

Waliotua: Christian Pulisic (Borussia Dortmund, Pauni 58milioni), Gonzalo Higuain (Juventus, mkopo).

Walioondoka: Christian Pulisic, (Borussia Dortmund, mkopo), Kasey Palmer (Bristol City, mkopo), Lewis Baker (Reading, mkopo), Josh Grant (Yeovil, mkopo), Karlo Ziger (Sutton, mkopo), Cesc Fabregas (Monaco, mkopo).

Pia yupo Matt Miazga (Reading, mkopo), Alvaro Morata (Atletico Madrid, mkopo), Victor Moses (Fenerbahce, mkopo), Karlo Ziger (Sutton United, mkopo), Lucasd Piazon (Chievo, mkopo), Charlie Wakefield (Coventry, mkopo)
 
CRYSTAL PALACE

Waliotua: Lucas Perri (Sao Paulo, mkopo), Bakary Sako (West Brom, imefichwa), Michy Batshuayi (Chelsea, mkopo).

Walioondoka: Jason Puncheon (Huddersfield , mkopo), Jonny Williams (Charlton, imefichwa), Alexander Sorloth (Gent, mkopo), Nya Kirby (Blackpool, mkopo), Joseph Hungbo (Margate, mkopo), Sullay Kaikai (Breda, imefichwa), Jordan Mutch (ameachwa), Oliver Webber (Greenwich Borough, mkopo)
 
EVERTON

Waliotua: Hakuna

Walioondoka: Kieran Dowell (Sheffield United - mkopo), Mason Holgate (West Brom, mkopo), Oumar Niasse (Cardiff, mkopo), Shayne Lavery (Falkirk, mkopo), Antony Evans (Blackpool, mkopo), Callum Connolly (Bolton, mkopo), Beni Baningime (Wigan, mkopo), Yannick Bolasie (Anderlecht, mkopo).
 
FULHAM

Waliotua: Ryan Babel (Besiktas, mkopo), Havard Nordtveit (Hoffenheim, mkopo), Lazar Markovic, Liverpool, huru).

Walioondoka: Aboubakar Kamara (Yeni Malatyaspor, mkopo), Stephen Humphrys (Southend, imefichwa), Stefan Johansen (West Brom, mkopo).
 
HUDDERSFIELD

Waliotua: Jaden Brown (Tottenham, imefichwa), Jason Puncheon (Crystal Palace, mkopo), Karlan Grant (Charlton, Pauni 2milioni)

Walioondoka: Ramadan Sobhi (Al Ahly, mkopo), Rajiv van La Parra (Middlesbrough, mkopo), Colin Quaner (Ipswich, mkopo), Ryan Schofield (Notts County, mkopo), Jaden Brown (Exeter City, mkopo), Rekeil Pyke (Rochdale, mkopo).
 
LEICESTER CITY

Waliotua: Youri Tielemans (Monaco, mkopo).

Walioondoka: Vicente Iborra (Villarreal, imefichwa), Fousseni Diabate (Sivasspor, mkopo), Yohan Benalouane (Nottingham Forest, imefichwa), Callum Elder (Ipswich, mkopo), Adrien Silva (Monaco, mkopo), Josh Knight (Peterborough, mkopo), na Andy King naye amepelekwa kwa mkopo kukipiga na Derby ili kwenda kuimarisha kiwango chake.
 
LIVERPOOL

Waliotua: Hakuna

Walioondoka: Dominic Solanke (Bournemouth , Pauni 19milioni), Ovie Ejaria (Reading, mkopo), Nathaniel Clyne (Bournemouth, mkopo), Liam Millar (Kilmarnock, mkopo), Matty Virtue (Blackpool, imefichwa), Pedro Chirivella (Extremadura UD, mkopo).
 
Back
Top Bottom