myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mkuu nimekuelewa ya ela yote.Aisee!!
Nimejifunza kitu, unaweza ukawa unapambania familia yako ili ipate maisha bora, lakini familia hiyo hiyo ikashindwa kuzitambua juhudi zako unazozifanya kwa ajili yao... Ikawa inakudhihaki,wakati huo huo bado inahitaji msaada wako. Ni binadamu wachache sana walio barikiwa uwezo wa KUTAFAKARI.
Samahani nitakuwa nimekujibu kitofauti ila nakujua,umenielewa namaanisha nini.
Bradha... Kuna maisha baada ya ajira...
Binadamu wengi huwa tunatupia macho mbele tuendako mara nyingi zaidi kuliko tuliko toka. Ni bora kutupia macho uliko toka mara nyingi zaidi kuliko uendako,maana ulicho nacho chafaa zaidi kuliko uki tarajiacho.
Twende na likes zetu mkuu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mpaka sasa tuko poa.Ni njema mkuu.
Najitahidi kadri niwezavyo kuwa around.Natumaini wkend inaisha vizuri huko.
[emoji106]
[emoji818][emoji818]
Inawezekana nimekua psy dada yangu...It has been a long time since niende hospital πππ.Hahaha.. Urembo uko reflected kwenye salamu.. utakuwa Psychiatrist wewe
Ndivyo tulivyo binadamu.Mkuu nimekuelewa ya ela yote.
Inauma sana, tuendelee na likes tuu.
Amen.Mpaka sasa tuko poa.
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu anayeongoza maisha yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Senkyuuu Bradha..Inawezekana nimekua psy dada yangu...It has been a long time since niende hospital πππ.
Kila mtu ni mzuri kwa namna yake.You are one of them.
Amani yetu muhimu sanaDar moja.
Usiseme hatuna hela,
Sema huna hela.
Acha watu wateseView attachment 1012624
Sent using Jamii Forums mobile app