Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maisha ni hatua... Mmoja wa vijana hao ana maisha mazuri sana hapa Bongo... Labda ni kwa sababu ya jina la baba yake.
Hapo ni mjini Mbeya enzi hizoView attachment 1012635
Usijali sana kiongozi, matajiri wasomi na watu wengine maarufu wamepita kwenye mapito kama hayo.
Kumbuka enzi zile pale kichochoro cha mtaa wa Leo na mtaa wa Bahati TMK tukiwafuata wale wa mama wa kabila lileeeeeeeee....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…