Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mmenikaribisha wenyewe... tatandaa... Wacha ni unyonye nyonye eeee nanana mbele kwa mbeleeee [emoji445][emoji444][emoji445][emoji443][emoji447][emoji447]
IMG_20190204_082537.jpeg
 
Binti zangu wa humu wengi wameadimika,sijui wameolewa wote kwa mpigo????
Pyaar
ledada (hepi besidei tu yuu)
@carba cha utundu wangu (ze ndindindi)
ankoo nakuzuum tu cha upole wangu
jakitoo (hbd) wapi mama?
consuela

Mungu aendelee kuwapigania huko mliko mpate kuwa na afya njema na mafanikio makubwa [emoji120][emoji120]
View attachment 1014268
Maisha yamekuwa magumu huoni mbele halafu uoe tena...mh !!!
 
Back
Top Bottom