Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
"Za kuambiwa changanya na za kwako... Jk"Maisha tayali yameshakuwa magumu,na hauoni mbele,,hv Anko utapata hata nguvu tena za kuongeza mtu??
Nmesoma mara mbl mbl hyo quote ya anko bro,utaitwa majina ya kila namna mwanaume suruali,utaitwa mwanaume una gubu,,yaan tabu tupuHalafu sasa ujichanganye uangukie kwa Asha kimbaumbau mtoto wa Kizaramo fulu mipasho deile; mapepe mwanzo mwisho mbona utakomiti hata suisaidi kabisa? Ushauri wa hovyo kabisa huo bro...
"Wewe nawe ni mwanaume? Mwanaume huna hata pesa ya mboga? Sijui nilikosea nini kuolewa na wewe mtoto pyua wa Kizaramo miye. Mwanaume bwege sana wewe..." [emoji116][emoji116][emoji116][emoji2221][emoji2221][emoji2221]View attachment 1014315
Hahaha anko ww"Za kuambiwa changanya na za kwako... Jk"
Nimelikuta sehemu watu wanalijadili, nikaona nilibebe kama lilivyo.
Unaogopa kuoa kisa maisha magumu? Ogopa kuoa kwa kuunga mkono kuoa kwa rafiki yako (say) Davet, maana utakua umeoa bila ya kuwa na dhamira ya dhati ya ndoa, au unaoa kisa binti umempachika mimba, hapo hakuna ndoa.Hahaha anko ww
Kwema huko anko?
Safii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]If you know you know....
View attachment 1014272
Hahahah anko huwa haushiwi maneno ww[emoji119][emoji119]Unaogopa kuoa kisa maisha magumu? Ogopa kuoa kwa kuunga mkono kuoa kwa rafiki yako (say) Davet, maana utakua umeoa bila ya kuwa na dhamira ya dhati ya ndoa, au unaoa kisa binti umempachika mimba, hapo hakuna ndoa.
Kumbuka: Usemi wa "penye mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke nyuma yake" hauna ukweli wowote, ni kufarijiana tu. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Namshukuru Mungu huku kwema, vipi kitabu huko?
Bwana mdogo kumbe yuko vizuri sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hahaha kitabu kipo ankoo,test za hapa na pale tu,kuelekea UEUnaogopa kuoa kisa maisha magumu? Ogopa kuoa kwa kuunga mkono kuoa kwa rafiki yako (say) Davet, maana utakua umeoa bila ya kuwa na dhamira ya dhati ya ndoa, au unaoa kisa binti umempachika mimba, hapo hakuna ndoa.
Kumbuka: Usemi wa "penye mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke nyuma yake" hauna ukweli wowote, ni kufarijiana tu. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Namshukuru Mungu huku kwema, vipi kitabu huko?
Sipati picha kakija halafu kaone hii. Nawahurumia Wasukuma popote walipo [emoji16][emoji16][emoji16]Nmesoma mara mbl mbl hyo quote ya anko bro,utaitwa majina ya kila namna mwanaume suruali,utaitwa mwanaume una gubu,,yaan tabu tupu