Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maisha tayali yameshakuwa magumu,na hauoni mbele,,hv Anko utapata hata nguvu tena za kuongeza mtu??
 
Maisha tayali yameshakuwa magumu,na hauoni mbele,,hv Anko utapata hata nguvu tena za kuongeza mtu??
Halafu sasa ujichanganye uangukie kwa Asha kimbaumbau mtoto wa Kizaramo fulu mipasho deile; mapepe mwanzo mwisho mbona utakomiti hata suisaidi kabisa? Ushauri wa hovyo kabisa huo bro...

"Wewe nawe ni mwanaume? Mwanaume huna hata pesa ya mboga? Sijui nilikosea nini kuolewa na wewe mtoto pyua wa Kizaramo miye. Mwanaume bwege sana wewe..." [emoji116][emoji116][emoji116][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…