Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nmesoma mara mbl mbl hyo quote ya anko bro,utaitwa majina ya kila namna mwanaume suruali,utaitwa mwanaume una gubu,,yaan tabu tupu
 
Hahaha anko ww

Kwema huko anko?
Unaogopa kuoa kisa maisha magumu? Ogopa kuoa kwa kuunga mkono kuoa kwa rafiki yako (say) Davet, maana utakua umeoa bila ya kuwa na dhamira ya dhati ya ndoa, au unaoa kisa binti umempachika mimba, hapo hakuna ndoa.
Kumbuka: Usemi wa "penye mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke nyuma yake" hauna ukweli wowote, ni kufarijiana tu. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Namshukuru Mungu huku kwema, vipi kitabu huko?
 
Hahahah anko huwa haushiwi maneno ww[emoji119][emoji119]

Ni vyema kama u mzima anko,tumshukuru Mungu
 
Hahaha kitabu kipo ankoo,test za hapa na pale tu,kuelekea UE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…