Inapotokea king’ora cha tahadhari unapaswa kutulia na kubaini ni nini, kikiendelea unapaswa kuangalia njia ya kuondoka kwa kufuata njia iliyo wazi kwenda sehemu salama” Charles Mwijage.
Mwamuzi Mike Dean bado kadi moja tu afikishe kadi nyekundu 100 alizotoa katika Ligi Kuu England atachezesha mechi kati ya Manchester City dhidi Chelsea Jumapili timu alizotoa kadi nyingi zaidi.
Kwa mwamuzi Dean mwenye miaka 50, yeye ametoa kadi nyekundu 99 katika Ligi Kuu, kati hizo kadi City na Chelsea kila mmoja imepewa kadi tisa, zikiwa ni timu alizowapa kadi nyingi zaidi.
Dean tangu wakati huo amechezesha mechi tatu, alitoa kadi yake ya 99 wakati alipomtoa nje kwa kadi nyekundu mchezaji wa Huddersfield, Christopher Schindler katika mechi dhidi yat Burnley.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.