Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mmiliki wa kiwanda cha chupi alikuwa na wakati mgumu kugundua kwanini kila mara kuna upungufu wa chupi. Wakati wa kutoka kiwandani kila mfanyakazi alipekuliwa na kila kitu kilikuwa sawa. Taratibu zote za uchunguzi, upekuzi na usalama ziliwekwa vizuri kabisa. Wakaguzi wa mahesabu walifanya ukaguzi na kukuta kila kitu kipo sawa na hakuna mfanyakazi aliyekamatwa lkn stock ilizidi kupungua. Staff wote wakati wa kutoka nje ya kiwanda walipokaguliwa walikutwa na chupi moja kila mmoja na hakuna aliyekutwa na zaidi ya chupi moja. Hivyo basi, siku moja dada mpika chai alifikiria NJE YA BOX na kumwambia Boss wake kwanini usiwaambie Askari wakaguzi wawakague staff wote wanapoingia kazini?. Mmiliki wa kiwanda alishikwa na bumbuazi na mshangao ambao hajawahi kuupata maishani alipoambiwa kwamba MENEJIMENTI NA STAFF WOTE HAKUNA HATA MMOJA ALIYEKUTWA KAVAA CHUPI😂😂😅🤣🤣🤣😅😂. Leo hii dada huyo kapandishwa cheo na kuwa MKUU WA KITENGO CHA UBUNIFU WA KAMPUNI. SOMO:-FANYA VITU TOFAUTI KAMA WATAKA MATOKEO TOFAUTI👍👍💪💪
 
Mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard, 28,anatarajiwa kuiambia klabu hiyo kwamba anataka kuondoka kuelekea Real Madrid mwisho wa msimu huu.. (Telegraph)
 
Back
Top Bottom