Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tottenham wana hamu ya kumsajili mchezaji wa kiungo cha kati wa Leicester na timu ya England James Maddison, kama mchezaji anayeweza kuichukua nafasi ya Christian Eriksen, mwenye umri wa miaka 26, iwapo mchezaji huyo wa timu ya taifa ya Denmark ataondoka katika msimu wa joto. (Mirror)
 
Mchezaji chipukizi wa Fulham Ryan Sessegnon bado anasubiriwa kukubali mkataba mpya huko Craven Cottage, akiwa ameanza majadiliano mwaka jana. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 18 ana chini ya mwaka mmoja na nusu katika mkataba wake wa sasa. (London Evening Standard)
 
Aliyekuwa mmiliki wa Leeds Massimo Cellino, ambaye sasa anaimiliki Brescia, huenda akaitisha kitita kikubwa cha fedha kwa mchezaji wa kiungo cha kati mwenye miaka 18 Sandro Tonali - mchezaji anayelengwa na Liverpool na Chelsea - iwapo klabu hiyo ya Italia itapandishwa katika ligi ya Italia, Serie A msimu huu. (Inside Futbol)
 
Wakati mwingine ni kunyanduliwa tu proper na mjulubeng wa kueleweka - korogesheni zote za Nyegezi na kona ya Bwiru zikachokonolewa. Mtu ataachaje kuwa "hapia yesitadei?" [emoji2221][emoji2221][emoji2221]

Kwema lakini bro?
hahahahahahah,

Ila kwa jana amedai alikua anakula mabuyu ya insta.

Bro, mimi ni mzima kabisa namshukuru Mungu.Natumai ni kwema huko pia.
 
Back
Top Bottom