Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wakongwe kabakia peke yake. Na anaendelea kukiwasha. Wenzake wengi wametangulia mbele ya haki [emoji1545][emoji1545][emoji1545].Kipenzi cha wengi jijini Kinshasa.
Koffi Olomide View attachment 1016653
Sent using Jamii Forums mobile app
Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hahahahaha[emoji16][emoji16][emoji16].
Huyo ni Msuku wa Congo[emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee.Third term abortion...Wanamkata mtoto vipande vipande akiwa tumboni na kutoa kiungo kimoja kimoja...
View attachment 1016628
Ukisikia jinsi inavyopondwa unaweza kudhani Kishasa inafanana na kimji cha KIBAIGWA Dodoma.
Ni nchi tajiri sana hii sema tu hawana bahati ya kuwa na wanasiasa wenye maono. Wangekuwa mbali sana...Ukisikia jinsi inavyopondwa unaweza kudhani Kishasa inafanana na kimji cha KIBAIGWA Dodoma.
Kinshasa hata Dar es salaam inasubiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi perception niliyokuwa nayo ni tofauti kabisa nilikuwa najua ni pabayaUkisikia jinsi inavyopondwa unaweza kudhani Kishasa inafanana na kimji cha KIBAIGWA Dodoma.
Kinshasa hata Dar es salaam inasubiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini unaita upumbavu prof? Huoni alivyokatika kama nyigu? [emoji16][emoji16][emoji16]Upumbavu wa kiwango cha lami
View attachment 1016664View attachment 1016665
Sent using Jamii Forums mobile app
Akishawavutia baadaye apelekwe zoo ama???Kwa nini unaita upumbavu prof? Huoni alivyokatika kama nyigu? [emoji16][emoji16][emoji16]
Ukisikia vita visivyoisha basi waweza kufikiri hivyo aisee. Ndiyo perception waliyonayo wazungu kuhusu Afrika. Vyombo vya habari vinaonyesha vita, njaa na magonjwa tu.Hata mimi perception niliyokuwa nayo ni tofauti kabisa nilikuwa najua ni pabaya
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afadhali umeweka wazi. Kuna watu hapa wangekimbilia kusema ni wa ile kanda pendwa [emoji16][emoji16][emoji16]
Anawachuna anatajirika au anakuwa maarufu zaidi huko kwenye tasnia yake.
Nilijua tu hii haitakupita...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]