moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Jamaa alitamba sana.Mamou feat Madilu Systeme...Voted best song from Africa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa alitamba sana.Mamou feat Madilu Systeme...Voted best song from Africa....
Ni mchezo unaoingiza mabilioni ya dola kila mwaka. Competitive fishing...Anashangaza.
Jamaa anasafiri Duniani kote kwenda kuvua hatimaye anaishia kupiga picha na samaki kisha anamradisha majini [emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
SIDA....akaitungia wimbo halafu ndo ikamwondoa. Alikuwa the best kwa Afrika kwa kweli.
...Hakika, hakuna anayejua kesho yake.
Trump alikua vizuri tangu enzi hizo,bila hivyo tyson asingemuajiri basi tu tyson kafilisika kwa nature ya uafrika kufuja pesa bila akiba...Hakika, hakuna anayejua kesho yake.
Mfanyakazi wako anakua Rais wa nchi kubwa nawe unakuwa mufilisi[emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana anapondwa na dada wa taifa...
Lakini Tyson ana sifa ya ubishi.Trump alikua vizuri tangu enzi hizo,bila hivyo tyson asingemuajiri basi tu tyson kafilisika kwa nature ya uafrika kufuja pesa bila akiba
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545].
Watetez wanakwambia konokono wake so acha aitumie hahahahNdiyo maana anapondwa na dada wa taifa...
Waafrika ndivyo tulivyo. Kuna huyu Maiweza mbelen atakuja zikumbuka sana hizi dola anazochezea.Lakini Tyson ana sifa ya ubishi.
Umaarufu aliopata akiwa na umri mdogo kama angewasikiliza vyema washauri wake asingekwama
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukosefu wa elimu na mazingira wanamokulia vinachangia sana kwenye haya mambo...Lakini Tyson ana sifa ya ubishi.
Umaarufu aliopata akiwa na umri mdogo kama angewasikiliza vyema washauri wake asingekwama
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah binadamu sieThird term abortion...Wanamkata mtoto vipande vipande akiwa tumboni na kutoa kiungo kimoja kimoja...
View attachment 1016628