River Monsters...
Nini kinaendelea hapa?
Mamou feat Madilu Systeme...Voted best song from Africa....
Tutafute njia ya kuusimamisha muda jamani. We gonna die [emoji16][emoji16][emoji16]ujumaa imeshika kasi
hahahahahahah,
Ila kwa jana amedai alikua anakula mabuyu ya insta.
Bro, mimi ni mzima kabisa namshukuru Mungu.Natumai ni kwema huko pia.
Nchi kubwa lakini haina mfumo mzuri wa utawala.Hilo limeli si ajabu limejaa madini ya kuiba hilo. Jamaa wanaivuna nchi hiyo kama haina mwenyewe. Afrika moja [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
River Monsters...
Wavuvi wa kishua hawa. Unamtoa samaki majini, unapiga picha halafu unamrudisha tena majini...hawana shida ya mboga, I guess...
Nini kinaendelea hapa?