Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukisikia vita visivyoisha basi waweza kufikiri hivyo aisee. Ndiyo perception waliyonayo wazungu kuhusu Afrika. Vyombo vya habari vinaonyesha vita, njaa na magonjwa tu.
Wazungu bado wana hasira na kujitawala kwa bara hili.
Ndiyo maana wakawatumia vibaraka kama Mobutu, Savimbi, Foday Sankoh na wengineo ili kulikwaza bara hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kujipa afya mgogoro kisa kuvutia watu, tena wanaume!!!???
Muonekano unakufanya uwe spana mkononi!!!!!

Kwani akiuza bila kutoa mbavu haiuziki???[emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Profesa mi nimekereka sana.
Mwanadamu ni lazima ujiamini kwa hali yoyote aliyokujaali Mwenyezi Mungu, haijalishi hata kama unafanya biashara ya kuuza mwili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli, wanaume wanapenda muonekano mzuri, lakini kamanda kufikia kuivuruga afya kwa furaha ya wengine kweli? Hili unalionaje kiongozi?
Najua unatania lakini da binafsi kaniboa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Profesa mi nimekereka sana.
Mwanadamu ni lazima ujiamini kwa hali yoyote aliyokujaali Mwenyezi Mungu, haijalishi hata kama unafanya biashara ya kuuza mwili

Sent using Jamii Forums mobile app
We na prof wako tulizeni boli. IG imejaa misambwanda na matiti ya bandia mbona hao hamuwakoromei? Kutoa mbavu na kushindilia mafuta matakoni kuna tofauti gani? Mumuache binti wa watu ale raha zake na hilo umbo namba nane bila bughudha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…