Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndugu yangu mmoja aliishi Sweden miaka 18, alikua mwalimu.
Alikuja Tanzania na wanafunzi kadhaa, ziara ya mafunzo.
Waliyoyaona hapa baada kutembelea miji, vijiji na vivutio kadhaa walishika midomo na kutoamini kama kweli wapo kwenye nchi ambayo taifa lao linaisaidia kwa kila hali.
Kwenye miaka ya 90' Chuo kikuu kimoja cha Marekani kilipata kandarasi ya kufanya sensa ya Tembo Tanzania.
Profesa aliyetumwa kusimamia zoezi hilo ambaye nilibahatika kufanya kazi naye baada project hiyo, alitamani asirudi Marekani.
Alisema dhana aliyokua nayo kuhusu nchi hii imefutika siku alipokanyaga Arusha National Park, kisha Serengeti badaye Selous na baadaye tena Saadani.
Wakati naachana naye mwaka 1999 alianza kuweka mizizi yake Tanzania.
Wafrika tusijidharau sisi tumebarikiwa sana pamoja na rangi yetu ambayo inawachukiza baadhi ya watu Duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
Aione ISIS hii wallahi...
 
[emoji106][emoji106][emoji106]
 
50230781_298905494316391_1371688952063203241_n.jpg
 
Yaani Profesa mi nimekereka sana.
Mwanadamu ni lazima ujiamini kwa hali yoyote aliyokujaali Mwenyezi Mungu, haijalishi hata kama unafanya biashara ya kuuza mwili

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutokujiamini nalo ni tatizo aisee, ringia kile ulichonacho sio lazima kila mtu akipende, waache wachache wakipende...Hata kama wachache hao watakosekana atatokea hata mmoja wa kukipenda kwa jinsi kilivyo.

Ulimbukeni tu, wao wanajiona wajanja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We na prof wako tulizeni boli. IG imejaa misambwanda na matiti ya bandia mbona hao hamuwakoromei? Kutoa mbavu na kushindilia mafuta matakoni kuna tofauti gani? Mumuache binti wa watu ale raha zake na hilo umbo namba nane bila bughudha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Wala hatujamkoromea, hata hao wa IG huwa tunawaona tu na misambwax yao fake.

Sema nini, maisha ni kuchagua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom