Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wala hatujamkoromea, hata hao wa IG huwa tunawaona tu na misambwax yao fake.

Sema nini, maisha ni kuchagua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ezi long ezi hujavunja sheria we serebuka kivyako. Maisha menyewe mafupi haya ohoooo !!!

Kama unaona mimbavu inakubana kufikia malengo yako itupilia mbali huko [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huko mbele ya safari sijui inakuwaje hasa mfumo mzima wa kupumua?

Eti wanaume...unawadharau sana wanaume ama? Mambo mengi anayofanya mwanamke yana lengo la kuwavutia wanaume...kujipodoa. Kujirembesha. Kutikisa kunakotikisikaga.......

Haiuziki? Tunazungumzia nini prof? Uko very deep [emoji16][emoji16][emoji16]
Siwadharau wanaume, maana yangu ilikuwa ni kutoridhika kwa wanaume , leo wanapenda nyigu kesho watapenda buibui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
455105822_155885.jpeg
 
Back
Top Bottom