Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndugu yangu mmoja aliishi Sweden miaka 18, alikua mwalimu.
Alikuja Tanzania na wanafunzi kadhaa, ziara ya mafunzo.
Waliyoyaona hapa baada kutembelea miji, vijiji na vivutio kadhaa walishika midomo na kutoamini kama kweli wapo kwenye nchi ambayo taifa lao linaisaidia kwa kila hali.
Kwenye miaka ya 90' Chuo kikuu kimoja cha Marekani kilipata kandarasi ya kufanya sensa ya Tembo Tanzania.
Profesa aliyetumwa kusimamia zoezi hilo ambaye nilibahatika kufanya kazi naye baada project hiyo, alitamani asirudi Marekani.
Alisema dhana aliyokua nayo kuhusu nchi hii imefutika siku alipokanyaga Arusha National Park, kisha Serengeti badaye Selous na baadaye tena Saadani.
Wakati naachana naye mwaka 1999 alianza kuweka mizizi yake Tanzania.
Wafrika tusijidharau sisi tumebarikiwa sana pamoja na rangi yetu ambayo inawachukiza baadhi ya watu Duniani
Kabisa. Ila mambo mazuri kama haya hawatangazi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…