Ibbotson, mwenye umri wa miaka 59, kutoka Crowle, Lincolnshire kaskazini, alikuwa kwenye mawasiliano na waongoza ndege ardhini ndege hiyo ilipokatiza mawasiliano na kupotea kwenye rada mnamo Januari 21.
Shughuli rasmi ya kuisaka ndege hiyo ilisitishwa Januari 24 baada ya mamlaka kudai uwezekano wa kupatikana hai wawili hao ulikuwa "mdogo mno".
Hata hivyo, mabaki ya ndege hiyo yalipatikana chini ya bahari baada ya wasamaria wema kuchangisha fedha zilizowezesha operesheni ya binafsi iliyoongozwa na mwanasayansi ya bahari David Mearns.
pole kwake...ARSENAL ya Ligi Kuu England imepata pigo baada ya beki wake pembeni, Hector Bellerin kupata majeraha mabaya ya goti ambayo yatamfanya kukosa msimu wote 2018/2019.
man utd 0Manchester United XI: De Gea, Valencia, Shaw, Jones, Smalling, Matic, Fred, Herrera, Pogba, Lingard, Lukaku.
Tottenham Hotspur XI: Lloris, Trippier, Rose, Alderweireld, Vertonghen, Dier, Dembele, Alli, Eriksen, Moura, Kane.
aah nimekupa likes huku ka roho kanaumaaaman utd 0
tottenham 3
gwenchanah gwenchanah,aah nimekupa likes huku ka roho kanaumaaa
Hahahahah afu wewe haubadilikagi kabisaa hata ndan ya jezi mpya ya roygwenchanah gwenchanah,
tulilipiza mechi ya pili kwa msaada wa david de gea.
hahahaaaaaaa hatari sana, nitafutie dawa ya kutofautisha sura zanguHahahahah afu wewe haubadilikagi kabisaa hata ndan ya jezi mpya ya roy
Ngumu sana akina aigoooo wamekushika balaahahahaaaaaaa hatari sana, nitafutie dawa ya kutofautisha sura zangu
niwe mkweli wameshaniletea athari kwenye maisha yangu, kama ipo tiba yake sitosita kuitafuta kwa gharama inayoendana na uwezo wangu.Ngumu sana akina aigoooo wamekushika balaa