ni mtu mmoja nakumbuka kama niliwahi kukujibu labda itakuwa umesahau GT, utakapomuoana huyu ni sawa sawa na kumuona Damushin.
Upo deep sana hivyo huwez pata tiba. Maana unafahamu majina yao halisi maisha yao na ratiba zao jambo ambalo halifutiki mapema.niwe mkweli wameshaniletea athari kwenye maisha yangu, kama ipo tiba yake sitosita kuitafuta kwa gharama inayoendana na uwezo wangu.
Ni msaidie kujibu. Ni mazoea hasa kwa wewe haubadiliki kiuandishi kabisaaa,ukiwa roy bado kikorea unacho,man u unayo hata wale uliowazoea kwenye damushin na kwenye roy bado unao na unachat nao vile vile unavyochat nao kama damushinni mtu mmoja nakumbuka kama niliwahi kukujibu labda itakuwa umesahau GT, utakapomuoana huyu ni sawa sawa na kumuona Damushin.
naomba unisaidie sababu ipi inayopelekea kuwepo kwa urahisi wa kugundua maandishi ya mtu fulani?
---------->> ni maarifa yetu ya kung'amua matatizo kwa haraka au ni mazoea?
- damushin = computer
- roy kim = simu ya mkononi