Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inaweza isiwe Ligi bora zaidi duniani kwa sasa kutokana na mafanikio ya Hispania katika ngazi ya klabu, lakini kwa umaarufu, Sala alikuwa anakwenda katika Ligi Kuu maarufu zaidi duniani. Kama angeichezea Cardiff kwa mwaka mmoja au miwili hauwezi kujua kipaji chake cha kutupia mabao kingempeleka wapi. Angeweza kwenda juu zaidi.
 
Mungu amemchukua na tunapaswa kushukuru kwa kila jambo. Nimewahi kusikia na kuona vikosi ambavyo vilianguka na ndege na wachezaji wake wakahitimishiwa maisha yao. Kikosi cha Manchester United mwaka 1958 baadhi ya wachezaji walipoteza maisha katika ajali ya ndege pale Munich.
 
Kikosi cha timu ya taifa ya Zambia kilifariki chote mwaka 1994 katika pwani ya Gabon wakati wakielekea Senegal kucheza pambano la kufuzu kombe la dunia mwaka huo. Ilikuwa ndoto iliyotisha lakini na hili la Sala ni ndoto inayotisha pia.
 
Ghafla ndoto inazimika wakati ukiwa safari kwenda kufungua ukurasa mpya. Katika uhamisho kama huu ndoto za Sala kupata pesa nyingi zaidi zimehitimishwa. Angepata mshahara mara mbili ya ule ambao alikuwa analipwa na Nantes.
 
Wakati mwingine Mungu anatukumbusha ukubwa wake kupitia matukio kama haya. Hatuna budi kumshukuru kwa kila kitu. Mwanadamu anaishi mara moja tu. asante Mungu kwa maisha ya Emiliano Raul Sala Taffarel.
 
.
FB_IMG_1549623294600.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni mtu mmoja nakumbuka kama niliwahi kukujibu labda itakuwa umesahau GT, utakapomuoana huyu ni sawa sawa na kumuona Damushin.

naomba unisaidie sababu ipi inayopelekea kuwepo kwa urahisi wa kugundua maandishi ya mtu fulani?
---------->> ni maarifa yetu ya kung'amua matatizo kwa haraka au ni mazoea?

  • damushin = computer
  • roy kim = simu ya mkononi
Ooh hapo sawa..
Mkuu una tone flani hivi kwenye uandishi wako ambayo haibadiriki.. kama mtu kakuzoea basi lazima akungamue haraka kua huyu ni Damushin.. achilia mbali baadhi ya maneno unayoyatumia au lugha ya kikorea unayopendelea..
Kama mdau hapo chini alivyo eleza!!
The way your tone sound ni vyepesi mno kukujua

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Mkuu, ina maana Roy Kim ni fyekero lako (ID yako nyingine)? [emoji87][emoji87][emoji87][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Ooh hapo sawa..
Mkuu una tone flani hivi kwenye uandishi wako ambayo haibadiriki.. kama mtu kakuzoea basi lazima akungamue haraka kua huyu ni Damushin.. achilia mbali baadhi ya maneno unayoyatumia au lugha ya kikorea unayopendelea..
Kama mdau hapo chini alivyo eleza!!
The way your tone sound ni vyepesi mno kukujua

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
We kweli ni Da'Vinci. Za masiku mkuu?

[emoji3591][emoji3591][emoji3591]P*[email protected] [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Back
Top Bottom