Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20190209-WA0003.jpeg
 
Sina heshima hapa JF sababu ya kupenda mabonge hadharani. Tumshukuru Mungu ndugu yangu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hapana mkuu Heshima uko nayo ndugu!! Hiyo ni fantasy yako and everybody got his/her fantasy!! That's your value inayokutofautisha na wengine. Jikubalii mkuu na naheshim Values zako

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Of course, Muonekano na namna anavyojiweka kwa mwanamke ni jambo la muhimu mno, lakini jambo linalovutia zaidi sio muonekano pekee.
.
Bali, ni ule utambuzi wa kujua kwamba mwanamke huyo sio mtu wa kujirahisisha kiasi ya kwamba mtu yeyote anaweza kuwa nae.
.
Sio mwanamke ambaye yuko desparate na mahusiano kisa yupo single ama anaona anachelewa kuolewa.
.
Kiufupi, jambo linalovutia kutoka kwa mwanamke ni pale unapojua kwamba, sio rahisi kuwa na mwanamke huyo kama hauna vision, mission ama mkakati wowote wa kudumu nae.
.
Na linalovutia zaidi ni kwamba, kama ukifanikiwa kuwa nae, anakuwa wa kwako peke yako. Exclusive yours. That then, is what separates the SMART WOMAN from the AVERAGE WOMAN!!
.
Holla to Smart Women
.
#SeeYouAtTheTop [emoji119][emoji119][emoji137][emoji137]

Birionea Bee
20190209_121155.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanafalsafa mbobevu wewe. Asante sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
kuna watu wanakufanya ujiulize mara kwa mara pindi unaposoma maandishi yao.
hivi na mimi nimepewa ubongo wa kufikiri kama davinci, malcom lumumba, izzo, life coded, zitto wote wawili na wengineo?
au sisi wengine tumepewa ubongo wa kuku tukifanya tukio tunasahau muda mchache ujao?
😛😛😛
yule mjinga anaiombea liquid iendelee kudumu ila mjinga mwengine anaiombea JF iendelee kudumu.
 
Back
Top Bottom