Kawa mweusi tiiiii...Melanin poppin' [emoji16][emoji16][emoji16]
Binadamu hatuwezekani. Hapa ninapokaa kuna mama ana kabinti kana miaka kama 14 hivi. Sasa siku za hivi karibuni nilikaona kameanza kubadilika sana nikawa nashangaa. Nimekuja kugundua kumbe kameamua kuwa kavulana. Kalikuwa na vimatiti vimeisha, sauti imeanza kubadilika na mwonekano wa kichekibobu kabisa. Mwezi wa tisa wanakwenda kufumua konokono na kuweka saksafoni - operesheni mojawapo ghali na tata kabisa. Sasa mtu unabaki unajiuliza why? Jibu unalopewa na mzazi ni kwamba I want my daughter to be happy. Basi mtu unatikisa kichwa tu na kuyaacha kama yalivyo...Binadamu !!!