Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shida hasa ipo kwa wavulana wanaojibadilisha kuwa wasichana na bado hawajafanya operesheni ya kuondoa mijulubeng. Nao wanataka watumie vyoo vya wasichana mpaka huko high school. Wazazi hawataki kabisa kwa sababu wanaamini kuwa mabinti wanaweza kuishia kubakwa na hawa wasichana koko. Kesi zimerindima katika majimbo mengi kila upande ukipambana. Hawa koko wanalalamika kuwa wanaonewa na kubaguliwa na wengine nao wanadai kuwa haki yao ya kuwa na faragha inavunjwa ali mradi vurugu tupu...
Utandawazi bana una faida na hasara moja wapo ni hii. Kabisaa hao wazazi wana haki kha li mtu na fenesi lake aingie pasipo husika lazima kutatokea jambo
 
Utandawazi bana una faida na hasara moja wapo ni hii. Kabisaa hao wazazi wana haki kha li mtu na fenesi lake aingie pasipo husika lazima kutatokea jambo
Ushoga na haya mambo vinalazimishwa kwa nguvu sana sijui kwa nini. Huwezi kuona muvi au show kwa sasa usiwe na wahusika mashoga au hawa matransgender. Hata show za watoto na vikatuni. Hata sijui tunakoelekea kwa kweli.
 
IMG-20190208-WA0027.jpg
 
Ushoga na haya mambo vinalazimishwa kwa nguvu sana sijui kwa nini. Huwezi kuona muvi au show kwa sasa usiwe na wahusika mashoga au hawa matransgender. Hata show za watoto na vikatuni. Hata sijui tunakoelekea kwa kweli.
Boring sana atleast kwa wakorea wanajitahidi kuepuka haya mambo kwenye movies zao ila kwa wazungu wahindi ni shiida. Kuna uzi humu unaelezea utamaduni wa wahind flan huko india wanachaguliwa wakiwa watoto wanakatwa fenesi zao na kuvalishwa kama wanawake wakikua ruksa kutumika kama mashoga
 
Aubameyang alizungumzia nafasi yake kwenye kikosi cha Arsenal akisema anajiona anakuwa bora zaidi akicheza straika na pembeni huku akidai anapenda zaidi kama atacheza na pacha kwenye fowadi hiyo ya Arsenal, ikiwa ni meseji kwa kocha Emery kwamba anapaswa kubadili fomesheni yake na kutumia 4-4-2 ili apange washambuliaji wawili kwa pamoja kama anavyotaka supastaa huyo wa kimataifa wa Gabon.
 
Nafasi yangu ninayopenda kucheza ni straika, pale mbele. Napenda pia kucheza pembeni, lakini kwenye eneo ambalo nadhanni nakuwa bora zaidi ni straika,” alisema Aubameyang. “Napenda tucheze wawili mbele. Ni jambo zuri kwa sababu jambo hilo linakufanya utengeneze kombinesheni nzuri na mshambuliaji mwenzako. Lakini, ndiyo hiyo kama kocha atahitaji kucheza kulia au kushoto, hakuna namna. Nitacheza na nitajituma kwa ajili ya timu, hakuna shida.”
 
Back
Top Bottom