Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Guardiola anaamini City imefanya maajabu kufika ilipo hasa ukizingatia iliachwa nyuma kwa pointi nyingi na Liverpool na ingeweza kuachwa nyuma zaidi kama ingefungwa na Liverpool Januari 3 mwaka huu katika pambano la Etihad ambalo City ilishinda 2-1.
 
Fundisho hapa ni kwamba tusikate tamaa. Hili ni fundisho kwa wanamichezo wote. Jaribu kushinda mechi kwa sababu maisha yanaweza kubadilika muda wowote ule. Na sasa hivi tujiande kucheza vizuri dhidi ya Chelsea. Kuna timu nyingi ambazo zinagombea kombe kwa sasa.
 
Kwa idadi ya mechi ambazo tunazo hatuwezi kupumzika. Mwaka jana tulichukua ubingwa kwa pointi 100 na safari hii tulikuwa katika nafasi ambayo tungeweza kukata tamaa lakini haikutokea. Tulicheza mechi nzuri dhidi ya Liverpool hawa wachezaji wengi wameonyesha tamaa na kiwango cha juu katika miaka miwili iliyopita” alisema Pep.
 
City imewahi kuwa katika hali hiyo na wakafanikiwa, wametwaa ligi mara kadhaa katika miaka michache iliyopita, Liverpool inakaribia miaka 30 tangu ilipochukua taji kwa mara ya mwisho. Wana kigingi cha kuchukua ubingwa. Wanaweza kufanikiwa? Labda ni kujiamini. Kocha wao amewahi kufanikiwa kubeba taji Ujerumani lakini sio na wachezaji hawa. Liverpool wana wasiwasi fulani hivi lakini City ya Pep inacheza tu,”
 
Words can lift up a person.
Words can connect people.
Words can inspire you to dare.
Words can create movements.
Words can show that you care.
Words can shape your culture.
Words can reveal your motives.
Words can make you laugh or cry.

Remarkable people use impeccable words[emoji818] [emoji818][emoji818][emoji818]
 
Back
Top Bottom