Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwa mujibu wa madaktari, hii ni operesheni salama kabisa sema tu hatakiwi kunyanyua vitu vizito na wala kufanya mazoezi makali ikiwemo mikiki mikiki mikali kitandani. Otherwise she is OK. Na kama hili ndilo linalompa furaha na ridhiko hapa duniani, hey it is her body and her life [emoji16][emoji16][emoji16]Kabisa kafanya ujinga mkubwa khaa utumbo na mbavu aisee