Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20190208-WA0014.jpeg
 
WACHEPUKAJI WENGI WANATABIA HIZI
1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati.
2.Inbox na sending items hufutwa kila
wakati.
3.Ukimuomba simu yake ghafla lazima
akwambie hebu
kwanza.......
4. Kamwe haiiti always vaibration.
5. Namba nyingi ha save.
6. Kuna simu hapokei hata
iweje....anapenda sms zaidi
7.Majina mengi kwenye simu yameseviwa
kwa majina ya
kufikirika.
8.Muda mwingi ni mtu wakujihami.
9.Anapenda password na anabadili mara
kwa mara.
10.Akiazima simu yako, akitumia tu
anafuta deal no
haraka.
11.Always yuko na simu.....hadi bafuni
ikibidi.
12. Anajazba ukimuuliza chochote kuhusu
simu....anajishtukia.
13. Akiwa anachati anakuangalia mara kwa
mara
kiwiziwizi
14. Hana jeuri ya kukuweka profile picture
na akikuweka
humalizi masaa anakudampu huko
Hapa kuna ukweli asilimia millioni moja
kabisa
Usikose kunifwata in bobo kwa maswali zaid whatsapp
Call on this number +260975051141
FB_IMG_1549303530523.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
KUNA mtu anaitwa Diogo Jota, unamjua? Ni hivi, Jumamosi iliyopita kwenye Ligi Kuu England kulipigwa mechi moja matata kabisa, Wolves walikipiga na Leicester City, matokeo kwenye mechi hiyo ubao ulisomeka 4-3, Wolves wakifanya yao, lakini huyo mtu anayeitwa Diogo Jota, ndiye aliyefanya yake kibabe.
 
Back
Top Bottom