Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sina heshima hapa JF sababu ya kupenda mabonge hadharani. Tumshukuru Mungu ndugu yangu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Njema sana mkuu SYB zee la mabonge[emoji41] [emoji41]
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Hapana mkuu Heshima uko nayo ndugu!! Hiyo ni fantasy yako and everybody got his/her fantasy!! That's your value inayokutofautisha na wengine. Jikubalii mkuu na naheshim Values zakoSina heshima hapa JF sababu ya kupenda mabonge hadharani. Tumshukuru Mungu ndugu yangu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mwanafalsafa mbobevu wewe. Asante sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Hapana mkuu Heshima uko nayo ndugu!! Hiyo ni fantasy yako and everybody got his/her fantasy!! That's your value inayokutofautisha na wengine. Jikubalii mkuu na naheshim Values zako
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Daah acha hivo mkuu ni mtizamo wangu tuMwanafalsafa mbobevu wewe. Asante sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Nilikuwekea makusudi. Nilipoona umeipotezea nami nikapiga chini [emoji23][emoji23][emoji23]Walahi SYB nilikua sijaona hiyo email vizuri[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utanipasua mbavu mchana huu
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Nilifikia hitimisho hilo baada ya kusoma uzi wako ule wa kumwelezea Da'Vinci. Uko vizuri sana. You are just humble ...Daah acha hivo mkuu ni mtizamo wangu tu
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Ngosha the donView attachment 1017641
Na kweli nimesoma yote dah [emoji16][emoji16][emoji16]
Nilijua tu...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kuna watu wanakufanya ujiulize mara kwa mara pindi unaposoma maandishi yao.Mwanafalsafa mbobevu wewe. Asante sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]