Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tena ndiyo wanapata mzuka balaa. Sijui 15th inning and I am like what da f***.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kama nakuona vile
 
Baseball na Golf bro ni hovyo sana. Inabidi uwe mvumilivu sana vinginevyo utakuwa frustrated tu...
 
Hahahahah
 
Kuwa kileleni ni kitu muhimu. Baada ya ile mechi dhidi ya Newcastle, kila mtu alisema zitakuwa pointi saba, huku sisi tulikuwa na mechi dhidi ya Arsenal na Chelsea zinafuatia na zilikuwa mechi ngumu sana. Lakini, baada ya Liverpool kushindwa kuwafunga Leicester City jambo hilo limetupa nafasi na nguvu mpya ya kutaka ubingwa.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…