capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Uwiiiiii !!!
Game saa ngapi?
Asante sana bro...
Na kwa mara ya kwanza leo nitaangalia mchezo wa mpira kuanzia mwanzo mpaka mwisho [emoji16][emoji16][emoji16]
Nitaifuatilia bro...Game ipo saa 5 kamili usiku wa leo.
Misambwanda ndo tatizo mkuu dah !!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah uzi una WW3 ya mitusi...
Aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji818]
Umekuwa mzembe siku hizi. Ulianza na moto balaa. Whea izi da orijino fayaaaa?????Good nyt