myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Uwiiiii !!!Kapigwa 2-0
Numbisa 0 wenzie 2
Dah,,kuna watu wana mambo ya ajabu humu hadi bhasi,,nmesoma comment chache nkashindwa kuendelea,,matusi mazito mazito aiseeDah uzi una WW3 ya mitusi...
nimechoka nimelog in uzi wa kwanza huo kukutana nao
Shukran bro!!
Nitag ..huko nishuhudie ...nani na nani haoDah,,kuna watu wana mambo ya ajabu humu hadi bhasi,,nmesoma comment chache nkashindwa kuendelea,,matusi mazito mazito aisee
Hahaha ngoja nikutag ukaichek WWE ya matusiNitag ..huko nishuhudie ...nani na nani hao
Aisee nimefadhaika sana ....nimeona mkuuHahaha ngoja nikutag ukaichek WWE ya matusi
Alitisha sanaa, ila mwaka jana amecheza filamu nyingi sanaa aisee.Jamaa huwa habahatishi hata kidogo,na vitu vya maudhui yale namuona anafiti sana
Unaweza nitajia japo kwa uchache,,nizitafute namuelewa sana huu jamaaAlitisha sanaa, ila mwaka jana amecheza filamu nyingi sanaa aisee.
Ni aibu kaka.Aisee nimefadhaika sana ....nimeona mkuu
Kuna moja inaitwa Geo Storm, Den of Thieves, The Vanishing,....Unaweza nitajia japo kwa uchache,,nizitafute namuelewa sana huu jamaa
Halafu mods wa siku hizi hawa mhhhh....Ni aibu kaka.