Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kauli ya Marcelo imekuja wakati kukiwa na taarifa kuwa mchezaji huyo anaweza kuondoka katika usajili wa majira ya kiangazi msimu ujao.
 
Bale anazungumza lugha moja kingereza, anafahamu maneno mawili tu,” alisema beki huyo wa kimataifa wa Brazil.
 
Mshambuliaji huyo amefunga mabao 100 katika kikosi hicho ingawa maisha yake ndani ya klabu hiyo yako shakani licha ya kutajwa kwamba ndiye tegemeo la Real Madrid baada ya kuondoka Cristiano Ronaldo.
 
Anthony Martial amesifu mbinu za kocha wa muda wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer.
 
Mchezaji huyo alisema ana furaha kucheza chini ya nguli huyo wa zamani wa timu hiyo kulinganisha na bosi wake wa zamani Jose Mourinho.
 
Martial alisema falsafa ya kocha huyo kumpanga katika safu ya mshambuliaji asilia, imerejesha makali yake Man United.
 
Ni rahisi kucheza katika mfumo anaotufundisha kuliko ule wa Jose Mourinho,”alisema mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa
 
Martial hakuwa chaguo la Mourinho Man United na mara kwa mara walikuwa na msuguano uliotoa nafasi kwa klabu ya Juventus kutuma maombi ya kumsajili, lakini kocha huyo aliweka ngumu kabla ya kufukuzwa kwa matokeo mabaya
 
Chelsea ilipata mvua ya mabao 6-0 katika mchezo wa Ligi Kuu England ikiwa ni mara ya kwanza baada ya miaka 27 Jumapili kwenye Uwanja wa Etihad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…