[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu kuna wakati nilikuwa naziona likes zako tu lakini mwenyewe ulikuwa huchangii chchote.[emoji16][emoji16]nikaona jamaa yangu yupo chimbo la aina yake[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Unafikiri ni kwa nini kuondoka kabisa kabisa imeshindikana? Mtu unatekwa na nywila unanyang'anywa lakini siku ukiachiliwa tu stendi ya kwanza ni huku. Uraibu kokeini cha mtoto [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] we nae mbea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti kuna kazi anataka ukafanye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mh! Yaani mm shuainn? Kuwa na huruma basi wangu, nikupendeje?Pheeew anitue khaa shuainn kabisa[emoji23][emoji23]