Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nshazoea bro....Hahahaha iginolist inanukia kwako bro
Kwema huko lakini?
Valentine dei hii bila shaka konokono kwa wingi. Be blessed bro
Nshazoea bro....Hahahaha iginolist inanukia kwako bro
Inaitwaje hii mboga kwa ile lugha tukufu? Ni majani ya maboga haya?
Kama hauna pesa za kununulia, basi, soma hata coments za wachangiaji huenda ukapata jipya
Eti vimbaumbau vinataka kujenga misuli. Why? For what?
Gari mil. 3.9 namba c - JamiiForumsKama hauna pesa za kununulia, basi, soma hata coments za wachangiaji huenda ukapata jipya
weweeee......
kijaaaani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti vimbaumbau vinataka kujenga misuli. Why? For what?
AmenWapendanao tumekutana tena kama ilivyo kawaida yetu, naamini hakuna cha kututenganisha zaidi ya kifo.
Mungu aendelee kutubariki [emoji120][emoji120]
Ee inaitwa nswalu au mlenda wa unga. Majani ya maboga yaliyosagwa pamoja na mgaganiInaitwaje hii mboga kwa ile lugha tukufu? Ni majani ya maboga haya?
Tamu sana
Ndio huo mkunungu?Ee inaitwa nswalu au mlenda wa unga. Majani ya maboga yaliyosagwa pamoja na mgagani
Duh jina geni hiloNdio huo mkunungu?
Sawa kabisa. Ikitiwa na karanga zilizosagwa (gisu) na tumaziwa kidogo uwiiii...Mlima wa ugali unateketea wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]Ee inaitwa nswalu au mlenda wa unga. Majani ya maboga yaliyosagwa pamoja na mgagani
Utamaduni mzuri. Unalipwa vizuri lakini na kazi ionekane. Hakuna longolongo wala Uswahili. Period !!!