Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha nakuona unamuita na carbamazepine kabsa hahah
Wee msukuma weweeee....Jamaa mmoja alikuwa amekaa zake sebuleni anasoma gazeti ghafla akapigwa frampen usoni na mkewe[emoji23][emoji23] JAMAA: vp tena mke wangu kulikoni[emoji15][emoji15] MKE: kwenye suruali yako wakati najiandaa kuifua nimekuta kikaratasi kimeandikwa "JENNY", unaweza kunieleza huyo JENNY ni nani kwako[emoji51][emoji51] JAMAA: aaah! wiki ilopita nilikuwa kwenye mashndano ya farasi, na Jenny ndo jina alobandikwa farasi wangu yaani farasi wangu aliitwa JENNY[emoji18][emoji18] MKE: sorry darling![emoji1376][emoji1376] Siku iliofuata jamaa akiwa amekaa tena kochini huku akisoma gazeti, alishtukia amepigwa tena frampen ya uso "kwaang!" JAMAA: Uwiiiiiii! jamani mke wangu nini tena[emoji25][emoji25][emoji15][emoji15] MKE: farasi wako anakupigia simu[emoji51][emoji51][emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo lazima tu uwe Thomaso! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro alinihadithia hii story nimeiweka kama ilivyoWee msukuma weweeee....
Sio "frampen" sema "frying pan" jamaniii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsante sana ankoo. Ni wale wale tu,ila nisha wazoea [emoji1][emoji1][emoji1]Pole sana anko,,,na Mungu akujaarie afya njema ili uendelee na mihangaiko ya kila siku...
Kumbe anti yangu ni kutoka kanda pendwa hahaha
Sawa sawa ankoo,,wasalimie nyumbani hapo[emoji23][emoji23][emoji23]Ahsante sana ankoo. Ni wale wale tu,ila nisha wazoea [emoji1][emoji1][emoji1]
Amin [emoji120][emoji120][emoji120]Sawa sawa ankoo,,wasalimie nyumbani hapo[emoji23][emoji23][emoji23]