Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

chichi_superwoman___Bq-iq8Slf6H___.jpg
 
NYOTA WA SPURS MBABE HADI KWA MKE WAKE. AMTANDIKA MAKONDE NA KULALA RUMANDE : Mke wa nyota wa Spurs Serge Aurier ajulikanaye kama Hencha Voigt amemshtumu nyota huyo kuwa amekuwa akimpiga mara kwa mara. : Mwanamke huyo raia wa Marekani ambaye kwa sasa ni mama wa mtoto wa kike mwenye miaka 8 waliyezaa na Aurier amesema amemsitiri sana Aurier : Hivi majuzi Aurier alilala rumande usiku kucha baada ya kuleta vurugu nyumbani. Mkewe hakutaka kuendelea na kesi na mwisho Aurier aliachwa huru. Baadae inasemekana kuwa wawili hao hawakuelewana kabla ya mwanamama huyo kuweka video mtandaoni akielezea namna Aurier alivyomtesa. : "Mara kadhaa nimemsitiri sana Aurier. Ndio, ni kweli amekuwa akinipiga sana. Ni muonevu mno. Ni mwanaume mtukutu. Hana sifa ya kuitwa baba. Hamjali mtoto wake. Mara kwa mara ameleta vurugu lakini nimekaa kimya. Leo nimeamua kuwaeleza ukweli" Voigt : Wakati mwezi wa mapenzi mubashara unashamiri wenzetu huko ndio kwanza wanafukua makaburi.
Aisee,yule jamaa mbona huwa anaonekana mstarabu sana usoni
Pole yake kwa mke na mwanae.
 
Jamaa mmoja alikuwa amekaa zake sebuleni anasoma gazeti ghafla akapigwa frampen usoni na mkewe[emoji23][emoji23] JAMAA: vp tena mke wangu kulikoni[emoji15][emoji15] MKE: kwenye suruali yako wakati najiandaa kuifua nimekuta kikaratasi kimeandikwa "JENNY", unaweza kunieleza huyo JENNY ni nani kwako[emoji51][emoji51] JAMAA: aaah! wiki ilopita nilikuwa kwenye mashndano ya farasi, na Jenny ndo jina alobandikwa farasi wangu yaani farasi wangu aliitwa JENNY[emoji18][emoji18] MKE: sorry darling![emoji1376][emoji1376] Siku iliofuata jamaa akiwa amekaa tena kochini huku akisoma gazeti, alishtukia amepigwa tena frampen ya uso "kwaang!" JAMAA: Uwiiiiiii! jamani mke wangu nini tena[emoji25][emoji25][emoji15][emoji15] MKE: farasi wako anakupigia simu[emoji51][emoji51][emoji51]
Hahahaha hyo sura itasalimika kweli kama kila kosa frampen lazma itue usoni
 
Back
Top Bottom