UCHOCHEZIILE fungate ya kocha Ole Gunnar Solskjaer huko klabuni Manchester United imefika kikomo baada ya usiku wa juzi Jumanne kukumbana na kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Paris Saint-Germain kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Weekend hiiSawa kamanda. Mnakipiga tena lini? Ni Jumapili hii ama?
Uko wapi uzi husika nikajifunze matusi mapya?Lucifer original kalimwa ban?
Kwa jinsi matusi yalivyozidi hapa JF nilikuwa sijui kama ban zinaendelea. Kuna ule uzi juzi jamaa anadai sijui possibility ya kupata michepuko inaongezeka ukioa aisee kulikuwa na ligi moja ya kufa mtu na mods waliacha tu ikaendelea kwa karibu siku mbili nzima...
Naona wamejaribu kuyafuta ila bado yapo. Ilikuwa ni ligi kali kati ya mwanzisha uzi na binti mmoja anajiita Mama Konfessa. Ningendako na Fragaria waliyaona wakatimua mbio kuja huku kuvuta hewa safi [emoji16][emoji16][emoji16]
aiseeMchambuzi mmoja maarufu wa soka huko Hispania, Eduardo Inda, alifichua Hazard ameanza kutafuta nyumba ya kuishi huko La Finca.
kitu hicho.....kizitooo