Dadake niaje..Jashiragaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Numbisa
ningendako sipendi ukorofi mie
Sent using Jamii Forums mobile app
Nywele za wapi? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Wow ! Ukikutana nao wengi namna hiyo nywele zinasimama
Wa kike kuna tatizo gani?Safi sana ila angekua mtoto wa kiume ingekua poa zaidi!!
[emoji16][emoji16][emoji16]Yaani bibi harusi ndo anaonekana ni bwana harusi[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]shoo acha kuniangusha bhana,huijui nyuu kapo??[emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole bro [emoji16][emoji16][emoji16]Sishabikii mpira wa Tanzania.
Kuna mdau wa uzi huu kila nikimtongoza anakuja na kauli hizi! Sas nmeamua kufikisha ujumbe kupitia platform hii.