Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna sehemu nilitaka kukuita nikasita bro alikua anaimba kisuku huko balaa
Hahaha wapi huko??

IMG_20190216_195727.jpeg
 
Jamaa mmoja alikuwa amekaa zake sebuleni anasoma gazeti ghafla akapigwa frampen usoni na mkewe[emoji23][emoji23] JAMAA: vp tena mke wangu kulikoni[emoji15][emoji15] MKE: kwenye suruali yako wakati najiandaa kuifua nimekuta kikaratasi kimeandikwa "JENNY", unaweza kunieleza huyo JENNY ni nani kwako[emoji51][emoji51] JAMAA: aaah! wiki ilopita nilikuwa kwenye mashndano ya farasi, na Jenny ndo jina alobandikwa farasi wangu yaani farasi wangu aliitwa JENNY[emoji18][emoji18] MKE: sorry darling![emoji1376][emoji1376] Siku iliofuata jamaa akiwa amekaa tena kochini huku akisoma gazeti, alishtukia amepigwa tena frampen ya uso "kwaang!" JAMAA: Uwiiiiiii! jamani mke wangu nini tena[emoji25][emoji25][emoji15][emoji15] MKE: farasi wako anakupigia simu[emoji51][emoji51][emoji51]
Wazee wa frampeni[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee wa kupanda bus na mahindi ya kuchoma asubuh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]nyege nyege nyegezi, tuzitoe zetu nyege...[emoji443][emoji445][emoji444][emoji443][emoji445][emoji444]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nini makeup hapo kifuan sijui kasondeka manguo dah bibi harusi kazidiwa uzuri na baba harusi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nijishtukie ile kapo ya avatar eee haipogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani bibi harusi ndo anaonekana ni bwana harusi[emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23]shoo acha kuniangusha bhana,huijui nyuu kapo??[emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom