andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Hivi wee ni mmoja wa wale wa barabara ya Mandela? Hakika mnasaidia sana kupata maji ya kunawishia kichwa kikipata moto...Anko unajua daslam jua linawaka sana?
Nilikuwa nahangaika na biashara yangu ya maji ya kandoro.
Nashukuru kama uko faini[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app