Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lol, Damu ya Yanga ina chumvi nyingi[emoji16][emoji16]
FB_IMG_1550330569220.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu amekuudhi na hiyo kauli bro ama unatoa dukuduku lako tu?

Kati ya Yanga na Simba unashabikia ipi? Unataka kubet tena niikombe hiyo iPhone yako kama wiki jana? [emoji16][emoji16][emoji16]
Sishabikii mpira wa Tanzania.

Kuna mdau wa uzi huu kila nikimtongoza anakuja na kauli hizi! Sas nmeamua kufikisha ujumbe kupitia platform hii.
 
Back
Top Bottom