Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Aaaaah hizo response za humu hazifutiki na kila siku naleta picha mbali mbali so naweka rekodi sanasio ugomvi dada numbisa
Wasukuma watano walienda baa ila kwa bahati mbaya wakawa hawajui majina ya bia wanazozihitaji. Baadae wakaingia Wachaga watatu wakaagiza Kilimanjaro sita… Mda uleule akaja mkurya akaagiza Serengeti mbili… Hawajakaa sawa akaingia Muhaya akaagiza Balimi saba Wasukuma wakasema aanhaaaa… kumbe kila mtu anakunywa bia za kwaooo… Wakaanza; (kwa lafudhi ya kisukuma kwa kukundamiza) "… Wee limhudumu… Mhudumu; sema nawasikiliza mabosi. Wasukuma; (kwa kukandamiza) Leta-NYEHUNGE mbili USHILOMBO tatu, SHINYANGA nne, BHARIADI tano, na GEITA saba… !!! Mhudumu: (kwa hasira) "JASHIRAGAA….!!!" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha sawa bro kama analifahamu hilo,bhasi hakuna tatzo sasa,,kuwa na aman kabsa.Hakuna neno bro. Shiro ananifahamu vizuri na matani yangu. Naamini hatakwazika. Yote kwa yote nimeacha bro...[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] carbamazepineWasukuma watano walienda baa ila kwa bahati mbaya wakawa hawajui majina ya bia wanazozihitaji. Baadae wakaingia Wachaga watatu wakaagiza Kilimanjaro sita… Mda uleule akaja mkurya akaagiza Serengeti mbili… Hawajakaa sawa akaingia Muhaya akaagiza Balimi saba Wasukuma wakasema aanhaaaa… kumbe kila mtu anakunywa bia za kwaooo… Wakaanza; (kwa lafudhi ya kisukuma kwa kukundamiza) "… Wee limhudumu… Mhudumu; sema nawasikiliza mabosi. Wasukuma; (kwa kukandamiza) Leta-NYEHUNGE mbili USHILOMBO tatu, SHINYANGA nne, BHARIADI tano, na GEITA saba… !!! Mhudumu: (kwa hasira) "JASHIRAGAA….!!!" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii nani amesema mkuuKuoa au kuolewa ukiwa na miaka 30 ni sawa na kujenga nyumba ukiwa unaelekea kustafu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji125][emoji125]carbamazepine
Hahaha bro wapi tena unaenda??View attachment 1014510
Ngoja nifungashe virago kabla hakajatia mguu. Mtanisimulia kitakachotokea. Nitarudi siku ya Ijumaa. Barikiweni....[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1014514
Hahahahhaah Nimependa jibu la mhudumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] carbamazepine
All the best huko uendakoView attachment 1014510
Ngoja nifungashe virago kabla hakajatia mguu. Mtanisimulia kitakachotokea. Nitarudi siku ya Ijumaa. Barikiweni....[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1014514
Mhudumu katoa jibu zuri sana,,hawa jamaa wako na mambo mengi sana wallah hahahahaHahahahhaah Nimependa jibu la mhudumu