Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji102]
Screenshot_20190202-205948.jpeg
 
Na wewe sasa umekuwa tatizo!
Ninakuletea mtu hadi ulipo bado utashindwa kumalizia?
Nitamleta tu, hata kwa kimya kimya mnataelewana. Au la namwambia kabisa "huyu ni ankoo wangu, hajui kutongoza kabisaaa... Sifa yake kuu ni mtaalamu wa kuzunguka na kona ya bwiru"... Naamini hatapinga akisikia kona ya bwiru [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Aisee,kona ya bwiru tena [emoji23][emoji23][emoji23]aisee
 
Nenda naye pole pole. Bro wangu yule mwingine huoni imemchukua miaka lakini evenchuale kajipatia aliye wake sasa hivi haoni wala hasikii 24/7 parabozi za mapenzi tu...

Ila huyu kwa Shiro aliniangusha sana mpaka roho inaniuma yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah,sikujua kama roho ilikuuma bro,kwa hyo pale kwa Shiro ilikuwa kama nmeokota embe dodo mchangani au kama kumsukuma mlevi vile [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah,sikujua kama roho ilikuuma bro,kwa hyo pale kwa Shiro ilikuwa kama nmeokota embe dodo mchangani au kama kumsukuma mlevi vile [emoji23][emoji23][emoji23]
Mi sijasema hivyo Bro. Mlikuwa na ukaribu fulani hivi safi sana. Mlikuja pamoja katika uzi na ilikuwa mmoja akipotea basi na mwingine naye anadisapia mpaka nikawa nasema hawa wameenda kunyanduana hawa. Kuja kushtuka wajanja weshazinduliwa na tayari walishahamia Rockcity kabisa wako bize wanakandia Wasuku....Aaaaaargh !!!
 
Back
Top Bottom